-->
logo

104 - Al-Humazah

الْهُمَزَة
Al-Humazah: 104


بِسْمِ اللَّـهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ


وَيْلٌ لِّكُلِّ هُمَزَةٍ لُّمَزَةٍ ﴿١﴾
1. Ole kwa kila mwenye kukebehi na kukashifu watu kwa ishara na vitendo na kwa kila mwenye kufedhehesha kwa ulimi.


الَّذِي جَمَعَ مَالًا وَعَدَّدَهُ ﴿٢﴾
2. Ambaye amekusanya mali na kuyahesabu.


يَحْسَبُ أَنَّ مَالَهُ أَخْلَدَهُ ﴿٣﴾
3. Anadhani kwamba mali yake itamdumisha halida.


كَلَّاۖ لَيُنبَذَنَّ فِي الْحُطَمَةِ ﴿٤﴾
4. Laa hasha! Atavurumishwa katika Al-Hutwamah moto mkali unaonyambua nyambua.


وَمَا أَدْرَاكَ مَا الْحُطَمَةُ ﴿٥﴾
5. Na nini kitakujulisha ni nini hiyo Al-Hutwamah.


نَارُ اللَّـهِ الْمُوقَدَةُ ﴿٦﴾
6. Ni moto wa Allaah ulioashwa.


الَّتِي تَطَّلِعُ عَلَى الْأَفْئِدَةِ ﴿٧﴾
7. Ambao unaopanda nyoyoni.


إِنَّهَا عَلَيْهِم مُّؤْصَدَةٌ ﴿٨﴾
8. Hakika huo utafungiwa juu yao kila upande.


فِي عَمَدٍ مُّمَدَّدَةٍ ﴿٩﴾
9. Katika nguzo zilopanuliwa.

Tags

advertisement centil

This blog is created for your interest and in our interest as well as a website and social media sharing info Interest and Other Entertainment.